Wewe Pekee
John Nyambu
paroles John Nyambu Wewe Pekee

John Nyambu - Wewe Pekee Lyrics & Traduction

Sababu ya msalaba wako na upendo wako 
Kasemehewa zote dhambi
Kwa ajili ya mkono wako na nguvu zako
Ndio naishi ewe Bwana

Sababu ya msalaba wako na upendo wako 
Kasemehewa zote dhambi
Kwa ajili ya mkono wako na nguvu zako
Ndio naishi ewe Bwana

Nimesamehewa nimeoshwa
Nimesafishwa kwa damu yake niko huru 
Hakuna mwingine  
Awezaye kuokoa roho na kubadili

Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 
Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 

[Florence Mureithi]
Natamani Nikupendeze kwa Yale yote nitendayo
Moyo wangu unapopiga iwe hesabu ya mema nitendayo
Mwili wangu uwe na hekalu la roho mtakatifu
Nikae ndani yako nawe ndani Yangu 
Kwa utakatifu nikutukuze

Imani Yangu ni kwako Yesu
Ya dunia yote yatapita 
Imani Yangu ni kwako Yesu
Ya dunia yote yatapita 

Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 
Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 
 
Mwenye nguvu (Ni wewe)
Unayeponya (Ni wewe)
Usiyeshindwa (Ni wewe pekee)
Mwenye nguvu (Ni wewe)
Unayeponya (Ni wewe)
Usiyeshindwa (Ni wewe pekee)

Ngome yangu (Ni wewe) 
Ngao yangu (Ni wewe) 
Msaada wangu (Ni wewe pekee)
Ngome yangu (Ni wewe) 
Ngao yangu (Ni wewe) 
Msaada wangu (Ni wewe pekee)

Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 
Ni wewe pekee unazo nguvu na mamlaka yote
Ni wewe pekee usafishaye mioyo yetu 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)