paroles Christina Shusho Relax

Christina Shusho - Relax Lyrics & Traduction

Eeeh…. Eeeeh…
Kurelax kurelax weeh

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika    .

Nani apinge
Alichosema Mungu
Nani alaani
Alichobariki Mungu
Hakuna awezaye kuzuia
Alichotenda Mungu
Na kama kuna pando, lilopandwa na mwovu
(Nangoa)
Pando la muovu
(Mi nangoa )
Na kama kuna andiko iloandikwa kwa hila
(Nafuta)
Andiko la hila (Mi)
Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu
(Nangoa)
Pando la muovu
(Mi nangoa)
Na kama kuna andiko iloandikwa kwa hila
(Nafuta)
Andiko la hila (Mi)

Imeandikwa nitakuwa kuchwa siyo mkia
Wakwanza si wa mwisho  .

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika   

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika

Mi na relax, na relax ooh
na relax, na relax, na relax
Mi na relax, na relax ooh
Mwenyewe amesema
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanipa utajiri wake
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanalisha kama ndege angani
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Atanipamba kama ua kondeni
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Yesu akisema atafanya
Mi na relax (na relax) na relax ooh
Neno lake ni amina na kweli
Mi na relax (na relax) na relax ooh

Bwana atanibarikiri
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa
Kusukwa sukwa hata kumwagika   

Nangoja atimize
Mi na relax, na relax ooh
Nangoja atimize, Mi na relax, na relax ooh
Mi na relax, na relax ooh
Mi na relax, na relax ooh

Eeeh ooh Mi na relax narelax ooh
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadiri ya utajiri wake  

 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)