Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
Ee bwana uniinue kwa imani nisimame
Nipande milima yote ee bwana unipandshe
Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni nitafika kwa imani
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)