paroles Ambassadors of Christ Choir Tumetoka  Mbali

Ambassadors of Christ Choir - Tumetoka Mbali Lyrics & Traduction

Tunao ushuhuda wakutosha
Kwamba mungu mwenyene
Kwa mkono wake
Ametuleta umbali huu
Akitubembeleza
Taratibu bila haraka ooh
Mungu wetu hutenda taratibu
Lakini kwa uhakika
Kwa uhakika

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashanga Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini(Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashangaa
Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote

Kila mmoja wetu yeye kivyake
Kama angepewa nafasi  Kusimulia
Na kueleza ilivyo mbali
Mungu amemutoa
Utubaki mdomo wazi
Ooohh acha wewe
Watu wametoka mbali
Tena mbali sana, mbali sana

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashangaa
Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashangaa
Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote

Jambo moja najua na la uhakika
Mungu hakutuleta  Umbali huu wote
Akiwa nayo nia mbaya
Yakutuaibisha hapana
Mungu wetu yumwaminifu
Makusudi yake ni mema kwetu
Basi tujitahidi nasi tusimwaibishe

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashangaa
Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote

Hakika tumetoka mbali
Mbali sana hata twashangaa
Tulivyo fika hapa
Asinge kuwa yeye mungu wetu
Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia
Ooohh kwamba mungu aweza yote


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment