(Still Alive)
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Uliyenipa uzima (Zima)
Uzima wa bure (Bure)
Unastahili sifa Bwana
Uliyenipa uzima (Zima)
Uzima wa bure (Bure)
Unastahili sifa Bwana
Kwa haki yako nimetawala dunia
Kwa haki yako nimepata kibali
Kwa haki yako nimetawala duniani
Kwa haki yako umenipa kibali
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Uliyeziumba usiku na mchana
Mimi mwenyewe ni kazi ya mikono yako
Baba nitumie jinsi upendavyo
Nami nitumike jinsi utakavyo
Eh maana bila wewe mimi ni kazi bure (Bure)
Maana bila wewe mimi si chochote
Kwa haki yako nimetawala dunia
Kwa haki yako nimepata kibali
Kwa haki yako nimetawala duniani
Kwa haki yako umenipa kibali
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Pokea, pokea sifa bwana
Pokea chukua Yesu
Pokea chukua Yesu, pokea chukua
Pokea chukua Yesu, pokea chukua
Kwa haki yako nimetawala dunia
Kwa haki yako nimepata kibali
Kwa haki yako nimetawala duniani
Kwa haki yako umenipa kibali
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)