(Ngatale Music)
Ooh...Aah..ooh...aaah
Eti mwenzenu nampenda
Ananizungua
Mi naumia moyo
Na nafsi kaja kujua
Mwambieni nampenda
Ananizungua
Mi naumia moyo
Na nafsi kaja kujua
Basi mi nampenda, ananizingua
Mwenzenu nampenda, ananizingua
Na mi ndo nampenda, ananizingua
Mwenzenu nampenda, ananizingua
Na haswa nampenda, ananizingua
Mwenzenu nampenda, ananizingua
Na mi ndo nampenda, ananizingua
Mwenzenu nampenda, ananizingua
Basi mama o, mama o mama o
Mi mwenzako navyocheza inaniuma roho
Eti mama o, mama o mama o
Mpaka chini unavyokata unaniacha hoi
Eti mama o, mama o mama o
Mi mwenzako navyocheza inaniuma roho
Ah roho, mi naumia na moyo
Na mama moyo, mi naumia na moyo
Na mama moyo, na unauma moyo
Na mama moyo usiuchezee moyo
Niko tayari kwa lolote nipate furaha
Nasema nelli ndo wangu shujaa
Macho sioni pembeni amenishika bingwa wa raha
Bashasoso ninii maji izidi kujaa
Na nilonacho sisemi
Naogopa wanaume wa Dar
Bashasoso nini maji izidi kujaa
Na ye ndo mama wa roho
Sema roho, ah roho
Ye ndo mama wa roho, aah roho
Sema roho, ah roho
Basi mama o, mama o mama o
Mi mwenzako navyocheza inaniuma roho
Eti mama o, mama o mama o
Mpaka chini unavyokata unaniacha hoi
Eti mama o, mama o mama o
Mi mwenzako navyocheza inaniuma roho
Ah roho, mi naumia na moyo
Na mama moyo, mi naumia na moyo
Na mama moyo, na unauma moyo
Na mama moyo usiuchezee moyo
Eti mama niliamini dawa ya mrembo upendo
Huenda sikuamini kama ungevunja pendo
Mimi mwanzo niliamini kama ndo wangu mrembo
Unaonidhamini na hutoi skendo
Hata kumbe naliamini
We wala hauna upendo
Basi niulize mimi
Nani ataidhamini mimi
Ooh jamani niulize mimi
Nani ataidhamini mimi
Oh jamani kugombana mi siwezi naogopa
Na nilijikaza nitete mapenzi mkanitosa kwanini
Kwanini? Wala hunipendi unaongopa
Mi mwenzako kwako hata siwezi toka
Kwani huwaga mpini nimeshinda ooh
Na wakaniacha nikafanya yao
Kwani huwaga mpini nimeshinda ooh
Na wakaniacha nikafanya yao
So usinije mimi, kimbombare mama
Kimbombare tena
Kimbombare mama, Kimbombare tena
Kimbombare mama, Kimbombare tena
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)