Alaa!
Mbuzi Gang
paroles Mbuzi Gang Alaa!

Mbuzi Gang - Alaa! Lyrics & Traduction

Riba shaghalaga riba
We unanipa na sijakuagiza
Gurumisha aiskie unakimbiza
Hii ni movie nakupa sio teaser

Huyu dem ako na mmmh hmm (Alaa!)
Anadai nikape mmmh hmm (Alaa!)
Na siwezi mnyima mmmh hmm 
Ju ana mmh mmh na ana mmmh hmm (Alaa!)

Sema den wa Rongai tulimeet kwa msee wa mayai (Alaaa!)
Alikuwa anajidai kumbe anapendaga rungu kama Moi (Alaaa!)
Alikuwa amebe be lakini sura (Alaaa!)
Usiku sacco sako kwa bako
Mikono kwa mako sitambui jasho

Rashia wa marash after shower
Ju ni mluhya nikamsetia kahawa
Akabambika akagawa 
Akitoka ndo akauliza unaitwa nani?

Riba shaghalaga riba
We unanipa na sijakuagiza
Gurumisha aiskie unakimbiza
Hii ni movie nakupa sio teaser

Huyu dem ako na mmmh hmm (Alaa!)
Anadai nikape mmmh hmm (Alaa!)
Na siwezi mnyima mmmh hmm 
Ju ana mmh mmh na ana mmmh hmm (Alaa!)


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)