Wanajisumbua
Harmonize
paroles Harmonize Wanajisumbua

Harmonize - Wanajisumbua Lyrics & Traduction

Mjeshi hapa

Wambieni wapinzani wanajisumbua
Ccm chama chetu tumekichagua
Wambieni wapinzani wanajisumbua
Samia rais wetu tumekichagua

Uongozi sio jambo rahisi
Inataka watu majasiri
Wameng'ang'ania ubishi
Wanapinga vilivyo dhahiri
Anayoyafanya Samia
Eti hawayaoni
Taifa linavyojengwa eti hawalioni
Ajira kwa vijana
Nazo hawazioni
Uhuru na ujamaa nao hawauoni

Mama usiwajibu
Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu
Usiwajibu
Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu
Mama kanyaga twende
Mbele mbele kwa mbele
We ccm twende
Mbele mbele kwa mbele
Kanyaga twende
Mbele, mbele kwa mbele
Tumechelewa sana twende
Mbele, mbele kwa mbele

Jeshi hapaa

Wambieni wapinzani wanajisumbua
Ccm chama chetu tumekichagua
Wambieni wapinzani wanajisumbua
Samia rais wetu tumekichagua

Mpeni kura Samia mpeni kura
Mpeni kura jamani mpeni kura
Ajisikie
Yupo nyumbani
Mpeni kura Samia mpeni kura
Mpeni kura mama apewe kura
Ajisikie yuko nyumbani

Anayoyafanya Samia
Eti hawayaoni
Eti anavyotuunganisha
Pia hawamuoni
Alivyo wekeza kwenya elimu
Pia hawamuoni
Mambo yote ya muhimu
Tuseme hamuyaoni

Mama usiwajibu
Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu
Usiwajibu
Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu
Mama kanyaga twende
Mbele mbele kwa mbele
We ccm twende
Mbele mbele kwa mbele
Kanyaga twende
Mbele, mbele kwa mbele
Tumechelewa sana twende
Mbele, mbele kwa mbele

Jeshi hapaa

Mpeni kura Samia mpeni kura
Mpeni kura jamani mpeni kura
Ajisikie
Yupo nyumbani
Mpeni kura Samia mpeni kura
Mpeni kura mama apewe kura
Ajisikie yuko nyumbani


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)