Jinsi
Elani
paroles Elani Jinsi

Elani - Jinsi Lyrics & Traduction

Naomba usiniumize mama
Moyo wangu ni mwepesi sana
Naomba usiniumize mama
Njia ya kupenda tena nitakosa
Nakuchukue nikuchu nikutunze
Unachotaka maman ami Nikupatie
Nakuchukue nikuchu nikutunze
Unachotaka maman ami Nikupatie

Nikiwa nawe wanichekecha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo
Nikiwa nawe wanichekecha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo  ohh
Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh
Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh

Unaponuna waniumiza roho
Nisipokuona kila siku naumia moyo ooh
Mimi kwako sijiwezi
Sijielewi sioni
Nakupenda jamani
Jamani kwako ooh
Sijiwezi sijielewi sioni
Nakupenda jamani
Nakuchukue nikuchu nikutunze
Unachotaka maman ami Nikupatie

Nikiwa nawe wanichekecha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo
Nikiwa nawe wanichekecha
Ni mimi na mola tunajua
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo
Jinsi nikupendabyo  ohh
Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh
Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh

Usiniumezi mama
Moyo wangu ni mwepezi sana
Mimi kwako sijiwezi
Nakupenda jamani ééh

Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh
Nikupende nipende eeh
Nipende Nikupende
Jinsi nikupendabyo  ohh


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment